BREEKING NEWS!!!!! JESHI LA POLISI LAFANYA UNYAMA WA KIHALIFU ZANZIBAR

ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.

NEWS

LEO TAREHE 17JUN2012 MNAMO MAJIRA YA SAA NANE NANUSU ZA MCHANA TULIONDOKA VIWANJA VYA MALINDI ENEO LA MJINI NA MISAFARA YA MAGARI VESPA NA PIKIPIKI TUKIELEKEA KWENYE MUHADHARA KASKAZINI UNGUJA ENEO LA DONGE KATIKA MSIKITI  UNAOJULIKANA KWA JINA LA DONGE PWANI, TULIPOFIKA MAHONDA MSIKITINI SIOMBALI NA KITUO CHA POLISI CHA MAHONDA MAJIRA YA SAATISA NA ROBO JESHI LA POLISI LILILOVALIA UNIFORM ZA ASKARI WA FFU LIKA-ANZA KURUSHA MABOMU OVYO NA KUANZA KUWATAWANYA WANAOELEKEA KWENYE MUHADHARA DONGE ILI WASIENDELEE NA SAFARI BILA YA KUTOA SABABU ZA MSINGI ZA KUFANYA HIVYO PIA ASKARI HAO HAWAKUTOSHEKA NA KURUSHA MABOMU OVYO PIA LIMEFANYA UNYAMA NA UHALIFU WAHALI YAJUU KWA KU-INAJISI MSIKITI WA IJUMAA WA MAHONDA WALIRUSHA MABOMU YASIOJULIKANA IDADI YAKE NA KUINGIA NDANI YA MSIKITI NA MABUTI NA KUVUNJAVUNJA VYOMBO VILIVYOEGESHWA ENEO LA MSIKITI HUO WA IJUMAA, PIA WALIWAPIGA WANAWAKE WANNE NA MTOTO MMOJA KWA   KUWATIMBA TIMBA BILA YA HURUMA NA KUWAPIGA MARUNGU, ILIPOFIKA WAKATI WA LAASIRI PIA WALIANZA KUPIGA MABOMU NDANI YA MSIKITI WA DONGE PWANI NA WALIKATAKATA KWA VISU MIPIRA YA VESPA NA BAISKELI ZILIZOKUA ZIMEEGESHWA MSIKITINI HAPO NA WALIVUNJA HESHMA YA MSIKITI NA KUINGIA NA MABUTI NDANI YA MSIKITI HUO WALIMKAMATA MZEE MMOJA ALIEKUA AKISWALI SWALA YA LAASIR AMBAE MPAKA SASA HATUJAPATA JINA LAKE, KWA TAARIFA TULIZOZIPATA ZA JUU JUU KUTOKA KWA KAMISHNA WA JESHI LA POLISI ZANZIBAR WAMEWASWEKA MAHABUSU WATU ISHIRINI………….. INSHA-ALLAH TUNAFUATILIA KWA UKARIBU ………… ANY NEWS TUTAONA KATIKA PAGES ZETU ZINAZOFUATA.

Advertisements

About uamshozanzibar

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, Zanzibar

Posted on June 17, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 9 Comments.

 1. asaIam aIaykum-kiIa tuki0 IinaI0t0kea na wanaI0tufanyia hawa madwaIim askari nd0 njia nzuri za kuwashtaki hizi mungu anatuIetea na nyinyi msieIewe vibaya kwasababu nd0 upeny0 mzuri wa kudai haki zenu mkiwa na ushahid dhatiti!nawapa p0Ie sana waIe waI0jeruhiwa na kunyanyaswa aIIah subhana wataa’Ia inshaIIah atawaIipia na kuwapa haki zenu za msingi mnaz0hitaji zanzibar!

 2. Ndugu zangu wazanzibari, nawaombea kwa Mungu akupeni moyo wa subra katika kuyaendea haya yote, kimsingi hakuna PEPO rahisi, lakini pia ni vyema kuchuku picha ya uharibifu uliofanywa na JESHI la POLISI kama ushahidi tosha, pia tuvitumie vyombo vyetu vya habari KAMA GAZETI LA ALNNUR NA RADIO IMANI KUTANGAZA UHARIBIFU HUU, pia radio adhana , radio NNUR NK, ZITANGAZE ILI WANAJAMII WAPATE MUAMKO NA KUONA JINSI GANI TUNAVYONYAYNASWA NA MUUNGANO HUU WA CHUMA NA MKONO.

 3. nyombo vya habari mbona havifanyi kazi yake a kutangaza au kwa sababu wamehujumiwa waislamu na jeshi la polisi? Mungu anasema yupo pamoja na walioamini, kwa ushahidi huu INSHAALLAH Zanzibar huru yaja, kama Makka ilitekwa na kukombolewa kwa Maandamamo basi Zanzibar hivyo hivyo, bora Wazanzibari sote tuishe lakini tuiache Zanzibar huru

 4. Poleni sana ndugu zanngu wazanzibari,na namuomba Allah awape moyo wa subra ,sisi ndugu zenu wa vyuo vikuu tuio bara tuko pamoja nanyi na tunaumia sana ,illa Mungu anasem atatutahini mpaka amueke wazi Mujahidina wakweli, miongoni mwenu,Namoja katika mbinu wanazozitumia nikuwahamisha wafanyakazi wanaoipenda dini ndani ya Zanzibar ili kudhoofisha juhudi zetu.Wapo baadhi ya wahadhiri na ambao wanaipenda dini tayari wameshawapa uhamisho.Tukio la askari kuudhalilisha msikiti ni zito kwa anae fahamu kwani hiyo ni nyumba tukufu sana,nahii kwa maoni yangu naona inatokana na uwelewa mdogo na kukosa uzalendo pamoja na kuyasahau mauti.Lau wengefahamu ni ipi hasa historia ya zanzibar wao wangaliunga mkono killa kinachosemwa, lakini kwa bahati mbaya hawafahamu na niwavivu wa kusoma maandiko ya historia. Wao wanfanya yote hayo kwa sababu ya kuulinda muungano lakini hawajielewi maskini, naukitaka kufahamu kwamba hawajielewi zingatia faida wanazozitoa za huo muungano,Nijuzi tu kulifanyika mkutano wa hadhara mkoani morogoro katika viwanja vya kichangani ambapo miongoni mwa wageni walioalikwa ni pamoja na Mh. samia suluh ambae ndie waziri mwenye dhamana ya muungano, alipokaribishwa kuwaeleza ummah faida zilizomo ndani ya muungano nilikaa kwa umakini mkubwa kumsikilizza, moja kati ya faida aliyoitaja nikuwa watanganyika sasa wanajua kupika urojo na kwamba kama si muungano wasingujua,ndugu zangu nilitokwa na machozi,kichwa changu kilijaa maswali yasiyomajibu ,nilianza kujiuliza ivi nikweli ninachokisikia ama nilisikia vibaya?, nigundua ndiyo faida aliyoikusudia baada ya kuirudia rudia,faida ya pili alisema kuwa yeye alisoma mzumbe na kama si muungano yengebidi kusoma kwao

 5. Asalaam alaykum.
  NDUGU ZANGU MUSISHANGAE HAYO YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI KWANI WANATEKELEZA AMRI ZA MAASKOFU. SASA NAOMBA MTU YOYOTE MWENYE PICHA ZA MATUKIO HAYO AFANYE HISANI AZITUME KWA RAIS WA TANGANYIKA MH KIKWETE, VIONGOZI WA SERIKALI YA SMZ, NA MKUU WA MAJESHI TANGANYIKA PIA NAKALA 1 KWA HUYO MR. MASHARUBU. ILI WAJUE HALI HALISI YA ZANZIBAR. PIA WAJUE KUWA POLISI NDIO WACHAFUZI WA AMANI ZANZIBAR.

 6. HAO POLICE NI VIBARAKA VYA MFUMO KRISTO NCHINI NDIYO MAANA WANAWATESA WAZANZIBARI WALIO KATIKA HAKI. NIVYEMA TAARIFA HII IKAMFIKIA MKUU WA MAJESHI NCHINI MH. KIKWETE. PIA WAISLAMU WA ZANZIBAR TUTOWE TAMKO LETU JUU YA HILI TUMUHAKIKISHIE MKUU WA MAJESHI ENDAPO YAKATOKEA MAMBO KAMA HAYO TENA AJUE NCHI HAITAWALIKI TENA NA YEYE NDIYE ATAKAEBEBADHIMA ZA UVUNJWAJI WA AMANI NCHINI NA IKIBIDI TUMFUNGULIE MASHATAKA KATIKA SHIRIKA LA HAKI ZA BINAADAMU YEYEY NA JESHI LAKE KWA KUWAZUIYA WATU UHURU WA KUABUDU DINI YAO NDANI YA NCHI YAO.

 7. INSHAALLAH, MUNGU ATAWALIPA HAPA HAPA DUNIANI, SISI WAISLAMU HATUNA BUDI KUMUELEKEA ALLAH S.W KWA PAMOJA KATIKA VIWANJA VYA WAZI NA KUMSHTAKIA MUUMBA JUU YA KUZUILIWA HAKI YETU YA KUABUDU NA WALE ALIOWAPA MADARAKA NA SILAHA ZA KUTISHIA AMANI YA MAISHA

 8. mohammed bakar

  Asalamu alykum, hao polic ni vibaraka na wanatumiwa na watu kwa hiyo waislamu wote tuwe kitu kimoja na tusikubali mpaka kieleweke

 9. jamal n. moh'd

  Assalam alaykum, i have something to tell my relative in Zanzibar! tuige misri! ni lazima kama 2nataka hakizetu pamoja na jitihada 2nazozifanya sasa. Nilazima 2weke mipango na mikakati ya baadae! katika uchaguzi 2wachague viongozi wale tu wanaotuunga mkono na wengine hatakama ni ndugu zetu 2waweke pembeni! kuanzia wabunge mpaka rais! namalizia kwa kuwashauri viongozi wetu watukufu wa uamsho pamoja na jitihada wanazofanya wawaandae viongozi watakao wachagua ktk uchaguzi mkuu wa 2015, na wawanadi kwa umma wa kiislam naamini kwa uwezo wa Allah (saw) lazima wazanzibari watawachagua na ndio itakua mwisho wa kero zote na na kubaki na Zanzibar yenu huru! vinginevyo nivigumu muungano kuvunjika! NAWAOMBA MYATEKELEZE HAYO!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: