Uislam Zanzibar


Advertisements
 1. AAMIR SUMA DAR ES SALAAM

  SALAMU ALEYKUM.
  NDUGU WAHUSIKA
  KWA KWELI KAZI HII NI NGUMU NA KUBWA,LAKINI MALIPO YAKE NI MAKUBWA NA YA KUDUMU
  SISI NA WATU WOTE WENGINE WATAFAIDI KUPATA MAWAIDHA NA KUJIBIWA MASUALA YAO KTK MTANDAO HUU

  THANK YOU
  AAMIR

 2. ASSALAMU ALAYKUM.NASHKURU SANA KAZI MUNAYOIFANYA

 3. Asalaam alaikum warahmatullahi taala wabarakatu……

  ndugu zangu waislaam bado natatizwa na suala la Mke kumzuia Mume kuoa kwa sababu anasema anampenda sana na hawezi kumuona akilala na Mke mwengine AU walikuwa masikini na sasa wamekuwa na mali basi huwa hataki mali ile ikatumike kwengine
  hii ni haki katika uislaam na nini fatwa ya hii

  Na Mume anaongeza mke wa pili kwa siri hataki kumuumiza mke wa kwanza AU halali zamu kwa sababu mke huyo wa kwanza analia sana akitoka kwenda kulala kwa mke wa pili

  naomba daawa kwa hayo kwani sasa yameenea katika kisiwa chetu hiki

  Na jengine ndugu zangu wa kiislam ni hawa wenye nyumba wanaokodisha
  hivi ni kweli wewe muislam unamkodisha chumba au nyumba mtoto wa mwenzio wa kiislam anaishi na mwanamke asokuwa muislaam au muislaam na unajua hawana ndoa ?
  mtoto huyo wa kiislam kahama kwao kwa kutoonekana anapofanya uchafu huo na unampatia sehemu hiyo kweli tunakwenda wapi?
  ndugu zangu wa kiislam zamani sisi tukiishi kwa wazee wetu hata kama tunaumri mkubwa vipi na kulinda heshima ya uislamu ,mwanamume au mwanamke ambae hajaoa au kuolewa basi akishinda na kulala kwao
  Maajabu ya leo mtoto wa kiislam akianza tu kupata Rizki basi hutafuta pa kukaa na hana mashauri ya Dini yake nawaombeni watowa Fatwa na Daawa mulione hili
  tunapiga vita ukimwi wanaoishi nje ya familia ni wengi……….
  masalam ni hayo tu nakushukuruni na Mola atawalipa kwa kazi hii yenu nzuri
  ishaallah

 4. Asalaam alaykum Waislam popote Ulimwenguni
  Naitakia jumuia hii kila la kheri katika kufanikisha malengo yako na naamini Allah yuko pamoja nasi katika hili.
  Ahsante
  Souleyman Masoud

  • A/ Elykum
   naitwa Maulid khamis wa bububu
   Naitakia kila kheri jumuia ya Uamsho kwenye harakati zao za kuwaamsha Wazanzibari waliokuwa wamelala ili kufanikiwa kuwaamsha ili wafikie lengo lao walilolikusudia…
   N.B
   Zanzibar kumeingia msemo siku hizi unasema..
   TUWACHIWE TUPUMUWE!!!

   Duh ……sumuuh…!!

 5. assalaam alaykum jamiiyya, kila la kheri UAMSHO kwani kila jambo la kheri huenda kwa kheri, shima alaykum wana zanzibar wapemba na waunguja tuwe pamoja katika kuikomboa znz yetu njema inshaallah…

 6. Assalamu alykum wapendwa endelea kuwa na mwamko huo huo ,Allah akupe killa la kheri katika masomo yako na harakati za ukombozi kwa ujumla.

 7. assalamu alaykum wwtw endeleani hivyo hivyo hata sisi wenzenu tulioko huku bara tuko njiani tunakuja kuwasaidia nguvu moja tusikate tamaa umoja ni nguvu

 8. Ipo sk tutafka inshalah

 9. ASS.ALAYKUM. Mimi nawashukuru uamsho kwa kazi nzuri munayoifanya, kwani maliipo ya kazi hii mlipaji ni ALLAH pekee , tuipiganie nchi yetu mpaka tuhakiishe inatoka kwenye mikono ya wakoloni (watanganyika ) na kwa uwezo wa ALLAH tutafanikiwa.Chengine zaidi waislam tunanyimwa fursa za kusoma hususan elimu za juu ambazo zinahitaji ufadhili , hivyo basi kama kuna wafadhili wowote wale basi tunaomba adress zao ziwekwe hadharani ili tuombe watusaidie (lakini kwa waislam tu )

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: