Tafsiri ya Qur’an Tukufu


Al Arham Sheikh Ali Muhsin Barwani

Al Arham Sheikh Ali Muhsin Barwani

Katika maulamaa wakubwa za Zanzibar wa siku za karibuni na Al Arham Ali Muhsin Barwani, ambaye katika uhai wake alifanya mengi kuuhuisha Uislam. Miongoni mwa hayo ni kuitafsiri Qur’an Tukufu kwa lugha ya Kiswahili. Bonyeza hapa kusoma tafsiri hiyo.

Advertisements
 1. Mmoja katika mitandao inayoshughulikiya mafunzo ya Ki-Islamu kila inapoonesha tafsiri ya Al Marhum Sheikh Ali Muhsin Al Barwani (Inshaallah) hufutilizwa kwa ibara ” Mwanafunzi wa Sheikh Abdulla Saleh Al Farsy” mimi ninawajuwa, au nilikuwa nikiwajuwa, Wataalmu wote wawili hawo. Nashindwa kufaham falsafa ya kutiwa ibara hiyo kila linapotajwa jina la Sheikh Ali Muhsin. Jee haifai kutaja jina la Sheikh Ali Muhsin bila ya kutaja jina la Mwalimu wake?

  • Assalam Allaykum, mimi naitwa Seif naishi fuoni Zanzibar, nipependa hii blog nashauri hadithi pia ziwekwe humu kwa lugha ya kiarabu na tafsiri yake ili tupate kuijua zaidi dini yetu ya kiislamu.

   • uamshozanzibar

    Tuombee dua INSHA-ALLAH atufanyie wepesi katika hili….

   • Kitendo cha kuweka hadithi za mtume na tafsiri katika blog hii kinaweza kikaleta mtafaruku mkubwa kwa watumiaji wa blog hii kwa sababu unajua waislamu wengi wanatofautiana juu ya suala la hadithi mara wengine wanakubali hadith sahihi na dhaif mara wengine dhaifu ili kujiendeshea shughuli zao….
    Hata hivyo ni vizuri kuweka na hadith pia….

 2. send to me a file concerning quran and its transilation in kiswahili

 3. Ninataraji kunitumia Qur’ani ya kiswahili kwa anuani hii BP 2747 Kin 1 Kinsshasa Gombe ao kunjia ya internet. Aksanti

 4. Slm.naomba kujua aya isemayo qala mussa maajitu bihi sihri ina llah sayubtilu ina llaha la yusda amala muqsidin.(ipo ktk sura gani

 5. allah akbar, i never know before that we have this great site. May Allah bless our great leaders.

 6. Ahsante kwa kunitumia mawazo yenu. Mimi nimeondoka Unguja 1964 mwanzoni, si kwa kutaka au kupenda bali kutimuliwa. Huku niliko nimeota mizizi kushinda mbuyu, lakini Unguja sikuisahau kwa sababu ipo moyoni. Nakutajieni kila la kheri.

 7. UAMSHO NAPENDA MIHADHARA YENU SANA

 8. Hakuna taasisi ambayo inatetea uislam na waislam znz kama uamsho. Allah awajaze taqwa pamoja na waislam wote. amiin

 9. all suggetion that are given in previous presenter are true .

 10. Muhsini Barwan yuko hai au ameshatangulia mbele ya haki maana hapo juu mmeandika wakati wa uhai wake nataka kufahamu

 11. . A.alaikum je hayo maoni juu ya muungano sio kwamba yanachakachuliwa ili kutufanya tuonekene kuwa bado tunautaka huwo muungano wakidhalimu?tuweni macho wazanzibar wenzangu juu ya hili kuliangalia kwamakuni zaid WABILLAHI TAWFIQ

 12. Shekh amejitahd sana mungu amlipe mema inshalah

 13. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi,Amin

 14. alhamdu lillahi

 15. namshukuru mungu

 16. A.alaykum. mm nauliza hivi’ Kwani tunachotaka wazanzibar ni kubadilishwa vipengele+vya muungano au hatuutaki kabisakabisa? Mbona tunahangaishwa akili zetu na hawa watwana? C watuache na hiki kijinchi chetu mana eti washafikia kututusi eti znzbr c nchi ni mkoa, haya kuna mkoa gani unaoongozwa na rais wao pamoja na wabunge wacopungua 50 na wawakilishi? Huu c ubabaishaji huu? Eti muungano, haya wapi na wapi nchi kuungana na mkoa wake? Wanafiki wakubwa hawa. Alla atajua vya kuwaunganisha cku ya mwisho.

 17. Innalillah wainailaih rajiun M/Mungu afufue pamoja na watu wema amin

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: