TANGAZO LA ITIKAFU MASJID AFRAA ZANZIBAR

ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.

WAISLAMU WOTE KIKE KIUME WA MJINI NA MASHAMBA MNAALIKWA KUHUDHURIA KATIKA ITIKAFU SIKU YA ALHAMIS TAREHE 2AUG2012 ITAKAYO ANZA BAADA YA SWALA YA T ARAWEHE HAPO MASJID AFRAA KIDONGO CHEKUNDU, NIMUHIMU KUFIKA ILI TUKESHE PAMOJA KATIKA KUFANYA DUA YA PAMOJA KATIKA KUIOMBEA DUA NCHI YETU DHIDI YA MAHASIDI WA NDANI NA NJE, ILI ALLAH ATUPE ULINZI NA NUSRA YAKE…..

NIMUHIMU ALIESIKIA TANGAZO HILI AMJUULISHE NA MWENZAKE.

”WABILLAH TAUFIQ”

Advertisements

About uamshozanzibar

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, Zanzibar

Posted on July 27, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 4 Comments.

  1. Inshaallah tupo pamoja. Ila ninge omba muwatangazie wazanzanzibar(ss wafuac wenu) jins ya hizi web site, block au jina la fcbook mtumialo ili iwe rahic kupata habar coz watu wengine wanakaa mashamba.
    Inshaala tutafanikiwa.

  2. Mohammed Mussa

    Alhamdulillah tangazo tumelipata na inshallah Allah atatujalia wepesi katika hili.

  3. WAZANZIBAR HATUUTAKI MUUNGANO NA TANGANYIKA.

  4. Salaam. Mimi nikiingia hapa sioni habari za leo leo je kunatatizo gani?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: