Daily Archives: June 5, 2012

“Tunataka Zanzibar iwe na mamlaka yake yenyewe“ – Mahojiano ya Jamhuri na Uamsho


Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho katika matembezi ya amani ya Mei 26, 2012

Haya ndiyo madai ya Uamsho kuuvunja Muungano:
• Wasema bayana kwamba wanataka Zanzibar iwe ‘Sovereign State’, ijitawale yenyewe
• Wasema Dar es Salaam ilikuwa ya Zanzibar, maili kumi kuingia ndani, mikataba ipo
• Kiongozi ahoji: Kilomita chache zinakushughulisheni wakati mna mapori tele

Jumuiya ya Uamsho ya Visiwani Zanzibar hivi karibuni ilijikuta matatani, baada ya Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya wafuasi wake. Mwandishi wa gazeti la JAMHURI, Manyerere Jackton, amefanya mahojiano ya ana kwa ana na Amiri Mkuu wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed, aliyeeleza lengo kuu la Jumuiya hiyo ya Kiislamu. Read the rest of this entry