Ukht Akifikisha Mada Kuhusu Mwanamke na Harakati za kutetea Nchi

Ukht Amina Akifikisha Mada Mwanamke na Harakati za kutetea nchi yake kwenye Kongamano lililofanyika Jana Skuli ya Haile Sellasie

Advertisements

About uamshozanzibar

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, Zanzibar

Posted on June 17, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 1 Comment.

 1. M. S. Mohammed

  Asalaam alaikum warahmatu LLAAH wa barakatuh, Wa baad,

  Mashekehe wetu huko Zanzibar katika Jumuia hii ya Uamsho, mimi nikiwa mmoja wa Wazanzibari ninayeitakia kheri nchi yetu ya Zanzibar, napenda kutoa tahadhari hii kwenu juu ya kauli ya Jaji Warioba.

  Tamko la Warioba kamwe lisibadilishe msimamo wa Wazanzibari na kuwaelimisha kwenu juu kutaka nchi yao na kujitoa au kujadili aina ya muungano baada ya Zanzibar kupata uhuru wake kutoka Mrima.

  Ningalipenda kusema kwamba tamko la kuwa wananchi watasikilizwa maoni yao juu ya muungano, siyo tamko rasmi wala si halali kwani katika Hdidu Rejea za mchakato wa katiba mpya halimo.

  Kauli ya Warioba imekuja baada ya kuona kuwa Wazanzibari wataletea kuukwamisha muswaada huo kwa kutoshiriki ipasavyo katika kutoa maoni yao kwa vile muswaada huo unazungumzia katiba mpya na siyo muungano. Hii ni kwa kutaka kuwalainisha wananchi wa Zanzibar ili washiriki kikamilifu katika kuchangi katiba na baadaye maoni hayo, kwa vile hayamo katika sheria au bill hiyo mpya, na baada ya tamko la rais Kikwete kuwa muungano haujadiliwi, kwamba maoni hayo yatatupiliwa mbali baada ya kumalizika mchakato huo na kitakacholetwa kwenye kura ya maoni ni suala la katiba tu na siyo muungano.

  Niliposikia maneno ya sheikh wetu Farid kuwa ameingia matumani kiasi fulani, niliona kuwa amekubaliana na kauli ya Warioba. Kitu kitoke katika mawazo yetu na wananchi waelezwe juu ya kauli hiyo kuwa haina uhalali kisheria na masimamo uwe ule ule kwa Wazanzibari.

  Nakubaliana na sheikh Farid kuwa ujumbe wa Uamsho na Wazanzibari umefika kwenye vichwa vya tume hiyo na serikali, lakini hii haina maana yakubaliwe matamshi hayo ambayo hayana msingi wo wte kisheria na ni domo kaya tu la kuwababaisha Wazanzibari.

  Kufikia hapa, naona maoni yangu yamefahamika na yatafanyiwa kazi na UAMSHO kwa kuwaelimisha wananchi wa visiwani kuwa maneno hayo si halali wala si ya kisheria na hayawezi kukubalika mpaka muswaada huo urejeshwe tena Bungeni kuingizwa kifungu cha kujadiliwa muungano au ususiwe kama ilivyosusiwa iliyopita.

  Wa shukrani

  Mzanzibari

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: