TANGAZO LA MUHADHARA KWARARA

BISMILLAH RAHMANI RAHIM

ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH

WAISLAMU WOTE WA MJINI NA MASHAMBA KIKE NA KIUME MNATANGAZIWA KUHUDHURIA KWENYE MUHADHARA UTAKAOFANYIKA KWARARA MASJID TAALIM KWA BATASHI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 16JUN2012 UTAANZA BAADA YA SWALATU ASIR. MUISLAMU USIKOSE UKUMBUSHO HUU WA KHEIR, NI MUHIMU KWA AJILI YA DINI NA DUNIYA YAKO.

WABILLAH TAUFIQ

Advertisements

About uamshozanzibar

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, Zanzibar

Posted on June 14, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 4 Comments.

 1. Salaam alaykum.
  Jamani tuwe na ushirikiano wa hali ya juu mpaka tufikie lengo letu la kuigomboa nchi yetu tukufu ya zanzibar.

  • uamshozanzibar

   WAALAYKUM SALAAM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.

   Shukran, Sh. Tuzidishe dua tukiziambatanisha pamoja na juhudi zetu BIIDHNI YAKE SUBHANA atatuongoza na kutupa wepesi katika kila jambo letu hadi tufikie kwenye Makusudio ya kuwa na Zanzibar Huru.
   MAASALAM

 2. Umoja ni silaha ya kitu chochote kile, HIVYO Wazanzibari tushikamane kwa hali na mali kuikomboa Zanzibar ni jukumu letu na si lamashekhe peke yao, bali wao kama kichecheo kwetu. TUAMKE

 3. UJASIRI, KUJIAMINI NA MSIMAMO UNALETWA NA KUJUA MAMBO, HIVYO WAZANZIBARI TUSHIRIKI MAKONGAMANO, MIHADHARA NA MAANDAMANO ILI TUFAHAMU KIPI KICHO CHINI YA MUUNGANO KWA ZANZIBAR, KWANINI WANGANGANIE MUUNGANO?, KWANINI WATAKE TUWAUZIE SEHEMU YA BAHARI? TUAMKE , TUSIMAME, TUPINGE KWA NGUVU ZETU ZOTE, INSHAALLAH TUTASHINDA.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: