TANGAZO LA DUA NA SWALA YA IJUMAA

ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.

 TANGAZO

 

JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZINAWATANGAZIA WAISLAMU WOTE WA MJINI NA MASHAMBA KUHUDHURIA KWENYE DUA YA KUIOMBEA NCHI ITAKAYOFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 15JUN2012 KATIKA VIWANJA VYA MAISARA NA SWALA YA IJUMAA ITASWALIWA HAPO HAPO.

WABILLAH TAUFIQ 

Advertisements

About uamshozanzibar

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, Zanzibar

Posted on June 13, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 4 Comments.

 1. ghari seif hussein

  Allah akupen nguvu viongozi wetu wa jumuiya hakika yenu nyiyi mnapigania haki kwa uwezo wa allah tunasem tuttshikamna na nyinyi viongozi wetu wa jumuiya kwa hali yeyote ile inshaallah mpaka kielewek tunasem tuwachiwe tupumue.

  • uamshozanzibar

   WAALAYKUM SALAAM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.

   AMINI … AMIN… AMIN… Shukran, Sh. Tuzidishe dua tukiziambatanisha pamoja na juhudi zetu BIIDHNI YAKE SUBHANA atatuongoza na kutupa wepesi katika kila jambo letu hadi tufikie kwenye Makusudio ya kuwa na Zanzibar Huru.
   MAASALAM

 2. MUNGU AKULIPENI KWA NIA NA KAZI MNAZOZIFANYA ILA KILA KATIKA MIHADHARA YENU HAMASISHENI UMOJA WA WAZANZIBARI MAANA KUNA KASUMBA ZA KISISASA ZINATIWA NA WASIOITAKIA MEMA ZANZIBAR, ELIMU KWA WAZEE HASA MASHAMBA IKIWEZEKANA WAHUTUBU WA KILA MSIKITI ZANZIBAR MADA YAKE IWE ZANZIBAR NA UMUHIMU WA ZANZIBARI HURU. WASHAURINI MAKHATIBU KUPITIA JUMUIYA YA MAAIMAMU ZANZIBAR SI MUDA WAKUSOMA HUTUBA ZA KITABUNI SASA LAZIMA HUTUBA ZIENDANE NA MATUKIO NA WAKATI

 3. WAZANZIBARI WAKATI NDIO HUU, TUSIPOUANIKA TUTAUTWANGA MBICHI? MIAKA 50 KARIBUNI INAKAMILIKA TUKIWA KATIKA GUNIA LA MUUNGANO LEO HII WAMETOKEA WAFADHILI WANAJARIBU KULICHANA ILI TUTOKE TUSIWAVUNJE MOYO. KIMSINGI ZANZIBAR SI NCHI KUBWA KULINGANISHA NA DARESALAAM LAKINI TUJIULIZE KWA NINI DARESALAAM KUMEENDELEA, ARUSHA, MWANZA NA MIKOA MINGINE MIKUBWA ZAIDI KULIKO ZANZIBAR? BILA SHAKA MUUNGANO HAUNA MAANA KAZI YAKE NI KUINYONYA ZANZIBAR TU ISIENDELEE MAISHA. HIVYO WAISLAMU TUSIKUBALI KUGAIWA KISIASA, KIMAENEO WANA KIVISIWA ZANZIBARI NI YETU INAHITAJI KUHESHIMIWA NA SIO KUBEZWA. KAMA TULIUNGANA NA KUWAONDOA WAKOLONI KWANINI TUTAWALIWE NA WAAFRIKA WENZETU. MUDA NDIO TUUNGANE TUPINGE MUUNGANO KAMA TULIVYOUNGA NA KUWA NA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: