TANGAZO LA MUHADHARA DONGE

BISMILLAH RAHMANI RRAHIM

ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH

TANGAZO

JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR ZINAWAALIKA WAISLAMU WA KIKE NA KIUME WA MJINI NA MASHAMBA KATIKA MUHADHARA MKUBWA KABISA UTAKAO FANYIKA DONGE SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17JUN2012 .   MHADHIR  ATAKUA MWANAKINDAKI NDAKI WA HAPO HAPO DONGE SI MWENGINE ISIPOKUA NI SH. MSELEM BIN ALLY BIN MSELEM NDIE  AMIR MKUU WA JUMUIYA  YA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU ZANZIBAR(JUMIKI), KWA WANAO ONDOKEA MJINI MISAFARA ITAANZA KUONDOKA VIWANJA VYA MALINDI SAA NANE NANUSU ZA MCHANA.

USIKOSE UKUMBUSHO HUU WA KHEIR

WABILLALH TAUFIQ

Advertisements

About uamshozanzibar

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, Zanzibar

Posted on June 13, 2012, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 2 Comments.

  1. KUSHINDIKANA KUFANYIKA MHADHARA DONGE KUSIDHORETESHE HARAKATI ZA KUDAI ZANZIBAR BALI IWE KAMA CHANGAMOTO KWA WAZANZIBARI SOTE, NATUTAFUTE NJIA NYENGINE ILI UJUMBE UWAFIKIE WANADONGE, HATA KWA KUWATUMIA MAKHATIBU SIKU ZA IJUMAA, KUHUTUBU MADA ZENYE MINASABA NA WAKATI TULIONAO NA MAHITAJI YETU KWA SASA KAMA TULIVYOHAMASISHANA KUHUSU SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA, HADI KWENYE MAGARI TULISHUHUDIA VIPEPERUSHI VYENYE KUHAMASISHA USHIRIKI. BASI NAHILI PIA NI LETU TULITATUE WENYEWE.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: